Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya nchi ya wenye haki; Ili wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
Matendo 12:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Karibu wakati ule ule, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. Biblia Habari Njema - BHND Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini wa Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini. BIBLIA KISWAHILI Panapo majira yale yale, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa. |
Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya nchi ya wenye haki; Ili wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye.
Hata ilipofika sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya watu, akampendeza Herode.
Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
Kila siku nilipokuwa pamoja nanyi hekaluni hamkuninyoshea mikono, lakini hii ndiyo saa yenu, na mamlaka ya giza.
Likumbukeni lile neno nililowaambia, Mtumwa si mkubwa kuliko bwana wake. Ikiwa waliniudhi mimi, watawaudhi ninyi; ikiwa walilishika neno langu watalishika na lenu.
Watawatenga na masinagogi; naam, saa inakuja kila mtu awauaye atakapodhania ya kuwa anamfanyia Mungu ibada.
ukinyosha mkono wako kuponya; ishara na maajabu vifanyike kwa jina la Mtumishi wako mtakatifu Yesu.
Basi kanisa likapata raha kote katika Yudea na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.