Matendo 11:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo. Biblia Habari Njema - BHND Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo. Neno: Bibilia Takatifu Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli, BIBLIA KISWAHILI Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli; |
Paulo akasema, Mimi ni mtu wa Kiyahudi, mtu wa Tarso, mji wa Kilikia, mwenyeji wa mji usiokuwa mnyonge. Nakuomba, nipe ruhusa niseme na wenyeji hawa.
Na Yusufu, aliyeitwa na mitume Barnaba, (maana yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kipro,
Bwana akamwambia, Simama, nenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;
Lakini Barnaba akamtwaa, akampeleka kwa mitume, akawaeleza jinsi alivyomwona Bwana njiani, na ya kwamba alisema naye, na jinsi alivyohubiri kwa ushujaa katika Dameski kwa jina la Yesu.