Nawe utawaleta karibu mbele za BWANA, na makuhani watamwaga chumvi juu yao, nao watawatoa wawe sadaka za kuteketezwa kwa BWANA.
Marko 9:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa sababu kila mtu atatiwa chumvi kwa moto. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Maana kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto. Biblia Habari Njema - BHND “Maana kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Maana kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto. Neno: Bibilia Takatifu Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto. Neno: Maandiko Matakatifu Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto. BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu kila mtu atatiwa chumvi kwa moto. |
Nawe utawaleta karibu mbele za BWANA, na makuhani watamwaga chumvi juu yao, nao watawatoa wawe sadaka za kuteketezwa kwa BWANA.
Tena, kila toleo la sadaka yako ya unga utalitia chumvi; wala usiiache sadaka yako ya unga kupungukiwa na chumvi ya agano la Mungu wako; utatoa chumvi pamoja na matoleo yako yote.
Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, ladha hiyo itarudishwa vipi? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Chumvi ni njema; lakini chumvi ikiwa si chumvi tena, mtaitia nini ikolee? Muwe na chumvi ndani yenu, mkakae kwa amani ninyi kwa ninyi.