Marko 7:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Biblia Habari Njema - BHND Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Neno: Bibilia Takatifu Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. Neno: Maandiko Matakatifu Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. BIBLIA KISWAHILI Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri. |
vipofu wanapata kuona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa Habari Njema.
Mara akaondoka, akajitwika godoro lake, akatoka mbele yao wote; hata wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Hatujawahi kuona jambo kama hili kamwe.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;