Marko 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine? Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine? BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? |