Marko 15:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hadi saa tisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa giza likaikumba nchi yote. Biblia Habari Njema - BHND Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa giza likaikumba nchi yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa giza likaikumba nchi yote. Neno: Bibilia Takatifu Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa. Neno: Maandiko Matakatifu Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa. BIBLIA KISWAHILI Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hadi saa tisa. |