Marko 14:71 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnayemnena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Neno: Bibilia Takatifu Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!” Neno: Maandiko Matakatifu Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!” BIBLIA KISWAHILI Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnayemnena. |
Akakana tena. Kitambo kidogo tena wale waliosimama pale wakamwambia Petro, Hakika u mmoja wao, kwa sababu u Mgalilaya wewe.
Na mara jogoo akawika mara ya pili. Petro akalikumbuka lile neno aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu. Na alipolifikiri, akalia.