huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.
Marko 14:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia akiwa uchi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. Biblia Habari Njema - BHND Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. Neno: Bibilia Takatifu alikimbia uchi, akaliacha vazi lake. Neno: Maandiko Matakatifu alikimbia uchi, akaliacha vazi lake. BIBLIA KISWAHILI naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia akiwa uchi. |
huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.
Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake.
Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.