Marko 14:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi ilipokuwa jioni akaja pamoja na wale Kumi na Wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Biblia Habari Njema - BHND Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Neno: Bibilia Takatifu Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. BIBLIA KISWAHILI Basi ilipokuwa jioni akaja pamoja na wale Kumi na Wawili. |
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.
Sisemi habari za ninyi nyote; nawajua wale niliowachagua; lakini andiko lipate kutimizwa, Aliyekula chakula changu Ameniinulia kisigino chake.