waliopotoka kutoka kwenye kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha tokea, hata kuipindua imani ya watu kadhaa.
Marko 12:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Biblia Habari Njema - BHND Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Neno: Bibilia Takatifu Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa, BIBLIA KISWAHILI Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema, |
waliopotoka kutoka kwenye kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha tokea, hata kuipindua imani ya watu kadhaa.