Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Marko 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwanapunda? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Biblia Habari Njema - BHND baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Neno: Bibilia Takatifu Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwana-punda?” Neno: Maandiko Matakatifu Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Mna maana gani mnapomfungua huyo mwana-punda?” BIBLIA KISWAHILI Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwanapunda? |
Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Wakaenda zao, wakamwona mwanapunda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.