Maombolezo 3:54 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maji mengi yalipita juu ya kichwa changu, Nikasema, Nimekatiliwa mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maji yalianza kunifunika kichwa, nami nikafikiri, ‘Huu ni mwisho wangu.’ Biblia Habari Njema - BHND Maji yalianza kunifunika kichwa, nami nikafikiri, ‘Huu ni mwisho wangu.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maji yalianza kunifunika kichwa, nami nikafikiri, ‘Huu ni mwisho wangu.’ Neno: Bibilia Takatifu maji yalifunika juu ya kichwa changu, nami nikafikiri nilikuwa karibu kukatiliwa mbali. Neno: Maandiko Matakatifu maji yalifunika juu ya kichwa changu, nami nikafikiri nilikuwa karibu kukatiliwa mbali. BIBLIA KISWAHILI Maji mengi yalipita juu ya kichwa changu, Nikasema, Nimekatiliwa mbali. |
Nami nilisema kwa pupa yangu, Nimekatiliwa mbali na macho yako; Lakini ulisikia sauti ya kilio changu Wakati nilipokulilia.
Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala Shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani angeyajali? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
Kisha akaniambia, Mwanadamu, mifupa hii ni nyumba yote ya Israeli; tazama, wao husema, Mifupa yetu imekauka, matumaini yetu yametupotea; tumekatiliwa mbali kabisa.