Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu?
Luka 7:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.” Biblia Habari Njema - BHND Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.” Neno: Maandiko Matakatifu Nayo hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.” BIBLIA KISWAHILI Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote. |
Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu?
Ni nani aliye na hekima, naye atayafahamu mambo haya? Ni nani aliye na busara, naye atayajua? Kwa maana njia za BWANA zimenyoka, nao wenye haki watakwenda katika njia hizo; bali waasio wataanguka ndani yake.
Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Na watu wote na watoza ushuru waliposikia hayo, waliikiri haki ya Mungu, kwa kuwa wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohana.
Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa; nanyi mwasema, Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi.
Mtu mmoja katika Mafarisayo alimwalika ale chakula kwake; akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani.