Lakini yule aliyesikia ila hakutenda, mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ukaipiga kwa nguvu, ikaanguka mara; na maangamizi yake nyumba ile yakawa makubwa.
Luka 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote kwa watu waliokuwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote watu wakiwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. BIBLIA KISWAHILI Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu. |
Lakini yule aliyesikia ila hakutenda, mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ukaipiga kwa nguvu, ikaanguka mara; na maangamizi yake nyumba ile yakawa makubwa.