Luka 6:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma. Biblia Habari Njema - BHND Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma. Neno: Bibilia Takatifu Kuweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. Neno: Maandiko Matakatifu Kuweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. BIBLIA KISWAHILI Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. |
Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye Juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.
Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; sameheni, nanyi mtasamehewa.
Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matusi yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya;
Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki.