Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiulegeze mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.
Luka 5:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika. Neno: Bibilia Takatifu Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika. Neno: Maandiko Matakatifu Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika. BIBLIA KISWAHILI Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; |
Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiulegeze mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.
wakawapungia mikono washiriki wenzao waliokuwa katika mashua nyingine, waje kuwasaidia; wakaja, wakazijaza mashua zote mbili, hata zikakaribia kuzama.
Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu.
Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini; na hesabu ya wanaume ikawa kama elfu tano.
Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.