Luka 24:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakamwabudu; kisha wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wao wakamwabudu, kisha wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa: Biblia Habari Njema - BHND Wao wakamwabudu, kisha wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wao wakamwabudu, kisha wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa: Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu. BIBLIA KISWAHILI Wakamwabudu; kisha wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kuu. |
Na tazama, Yesu akakutana nao, akisema, Salamu! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia.
Mlisikia ya kwamba mimi niliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Basi ninyi hivi sasa mna huzuni; lakini mimi nitawaona tena; na mioyo yenu itafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleaye.
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitamtuma kwenu.
Kisha wakarudi kwenda Yerusalemu kutoka mlima ulioitwa wa Mizeituni, ulio karibu na Yerusalemu, wapata mwendo wa sabato.
Naye mwampenda, ijapokuwa hamkumwona; ambaye ijapokuwa hamumwoni sasa, mnamwamini; na kufurahi sana, kwa furaha isiyoneneka, yenye utukufu,