Luka 24:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Biblia Habari Njema - BHND Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Neno: Bibilia Takatifu Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, Neno: Maandiko Matakatifu Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, BIBLIA KISWAHILI Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. |
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Na walipokuwa katika kusema habari hiyo, yeye mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu.