Akalifanya pazia la samawati na urujuani na nyekundu, na kitani safi, akaitengeneza makerubi.
Luka 23:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili. Biblia Habari Njema - BHND na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili. Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili. Neno: Maandiko Matakatifu kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili. BIBLIA KISWAHILI jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati. |
Akalifanya pazia la samawati na urujuani na nyekundu, na kitani safi, akaitengeneza makerubi.
Na tazama, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hadi chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka;
tuliyo nayo kama nanga ya roho, yenye salama, yenye nguvu, yaingiayo hata mle mlimo ndani ya pazia,