Luka 23:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Biblia Habari Njema - BHND wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Neno: Bibilia Takatifu na wakamwambia, “Kama wewe ni mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Neno: Maandiko Matakatifu na wakamwambia, “Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” BIBLIA KISWAHILI huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe. |
Amemtegemea Mungu; na amwokoe sasa, kama anamtaka; kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu.
Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.