Luka 23:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wale askari nao wakamfanyia dhihaka, wakimwendea na kumletea siki, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Askari nao walimdhihaki pia; walimwendea wakampa siki Biblia Habari Njema - BHND Askari nao walimdhihaki pia; walimwendea wakampa siki Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Askari nao walimdhihaki pia; walimwendea wakampa siki Neno: Bibilia Takatifu Askari nao wakaja, wakamdhihaki. Wakamletea siki ili anywe, Neno: Maandiko Matakatifu Askari nao wakaja, wakamdhihaki. Wakamletea siki ili anywe, BIBLIA KISWAHILI Wale askari nao wakamfanyia dhihaka, wakimwendea na kumletea siki, |
wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.
Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumteremsha.
Basi Herode akamdhalilisha, pamoja na askari wake, akamdhihaki, na kumvika mavazi mazuri; kisha akamrudisha kwa Pilato.