Basi nahodha akamwendea, akamwambia, Una nini, Ewe ulalaye usingizi? Amka, ukamwombe Mungu wako; labda Mungu huyo atatukumbuka, tusipotee.
Luka 22:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawaambia, Mbona mmelala usingizi? Ondokeni, mkaombe, msije mkaingia majaribuni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Biblia Habari Njema - BHND Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Neno: Bibilia Takatifu Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” Neno: Maandiko Matakatifu Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Mbona mmelala usingizi? Ondokeni, mkaombe, msije mkaingia majaribuni. |
Basi nahodha akamwendea, akamwambia, Una nini, Ewe ulalaye usingizi? Amka, ukamwombe Mungu wako; labda Mungu huyo atatukumbuka, tusipotee.
Alipoondoka katika kuomba kwake, akawajia wanafunzi wake, akawakuta wamelala usingizi kwa huzuni.