Luka 21:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na watu wote walikuwa wakiamka mapema waende hekaluni ili kumsikiliza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Neno: Bibilia Takatifu Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. Neno: Maandiko Matakatifu Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. BIBLIA KISWAHILI Na watu wote walikuwa wakiamka mapema waende hekaluni ili kumsikiliza. |