Luka 21:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Biblia Habari Njema - BHND Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Neno: Bibilia Takatifu Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka. BIBLIA KISWAHILI Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu; |
Na watakapowachukua ninyi, na kuwasaliti, msitafakari kwanza mtakayosema, lakini lolote mtakalopewa saa ile, lisemeni; kwa maana si ninyi msemao, bali ni Roho Mtakatifu.