Luka 20:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wala hawakuthubutu kumwuliza neno baada ya hayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. Biblia Habari Njema - BHND Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. BIBLIA KISWAHILI wala hawakuthubutu kumwuliza neno baada ya hayo. |
Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena.
Naye Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, alimwambia, Wewe hu mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumwuliza swali tena tokea hapo.