Luka 20:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwisho akafa yule mke naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwishowe akafa pia yule mwanamke. Biblia Habari Njema - BHND Mwishowe akafa pia yule mwanamke. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwishowe akafa pia yule mwanamke. Neno: Bibilia Takatifu Mwishowe, yule mwanamke naye akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Mwishowe, yule mwanamke naye akafa. BIBLIA KISWAHILI Mwisho akafa yule mke naye. |
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lolote, wala hawana tuzo tena; maana hata kumbukumbu lao limesahauliwa.
Tena watu wote wa kizazi hicho nao walikusanywa waende kwa baba zao; kikainuka kizazi kingine nyuma yao, ambacho hakikumjua BWANA, wala hawakuijua hiyo kazi ambayo alikuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.