Na wale waliotumwa wakaenda wakaona kama alivyowaambia.
Basi, wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.
Wale waliotumwa wakaenda, wakapata kila kitu kama Isa alivyowaambia.
Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Isa alivyokuwa amewaambia.
Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
Na walipokuwa wakimfungua mwanapunda, wenyewe waliwaambia, Mbona mnamfungua mwanapunda?
Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka.