Basi wale waliotangulia wakamkemea ili anyamaze; lakini yeye alizidi sana kupaza sauti, Ee Mwana wa Daudi, unirehemu.
Luka 18:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yesu akasimama, akaamuru aletwe kwake; na alipomkaribia, alimwuliza, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alisimama, akaamuru wamlete mbele yake. Yule kipofu alipofika karibu, Yesu akamwuliza, Biblia Habari Njema - BHND Yesu alisimama, akaamuru wamlete mbele yake. Yule kipofu alipofika karibu, Yesu akamwuliza, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alisimama, akaamuru wamlete mbele yake. Yule kipofu alipofika karibu, Yesu akamwuliza, Neno: Bibilia Takatifu Isa akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Isa akamuuliza, Neno: Maandiko Matakatifu Isa akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Isa akamuuliza, BIBLIA KISWAHILI Yesu akasimama, akaamuru aletwe kwake; na alipomkaribia, alimwuliza, |
Basi wale waliotangulia wakamkemea ili anyamaze; lakini yeye alizidi sana kupaza sauti, Ee Mwana wa Daudi, unirehemu.