Luka 18:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?” Biblia Habari Njema - BHND Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?” Neno: Bibilia Takatifu Kipofu huyo aliposikia umati wa watu wakipita, akauliza nini kilikuwa kikitendeka. Neno: Maandiko Matakatifu Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?” BIBLIA KISWAHILI na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini? |
Ikawa alipokaribia Yeriko, mtu mmoja kipofu alikuwa ameketi kando ya njia, akiomba sadaka;