Luka 18:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nao waliosikia walisema, Ni nani basi awezaye kuokoka? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?” Biblia Habari Njema - BHND Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?” Neno: Bibilia Takatifu Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” Neno: Maandiko Matakatifu Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” BIBLIA KISWAHILI Nao waliosikia walisema, Ni nani basi awezaye kuokoka? |
Kwa maana ni rahisi ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.