Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.
Luka 17:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.” Biblia Habari Njema - BHND Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.” Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi Bwana Isa?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.” Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi, Bwana Isa?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.” BIBLIA KISWAHILI Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. |
Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.
huku wakituzuia tusiseme na Mataifa wapate kuokolewa; ili watimize dhambi zao siku zote. Lakini hasira imewafikia hata mwisho.