Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Luka 17:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mkumbukeni mkewe Lutu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kumbukeni yaliyompata mke wa Loti. Biblia Habari Njema - BHND Kumbukeni yaliyompata mke wa Loti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kumbukeni yaliyompata mke wa Loti. Neno: Bibilia Takatifu Mkumbukeni mke wa Lutu! Neno: Maandiko Matakatifu Mkumbukeni mke wa Lutu! BIBLIA KISWAHILI Mkumbukeni mkewe Lutu. |
Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Mtu yeyote atakaye kuiponya nafsi yake, ataiangamiza; na yeyote atakayeiangamiza ataiponya.