Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, ladha hiyo itarudishwa vipi? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Luka 14:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini? Biblia Habari Njema - BHND “Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini? Neno: Bibilia Takatifu “Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena? Neno: Maandiko Matakatifu “Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena? BIBLIA KISWAHILI Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee? |
Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, ladha hiyo itarudishwa vipi? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.