Wakati huo, makutano walipokutanika maelfu, hata wakakanyagana, alianza kuwaambia wanafunzi wake kwanza, Jilindeni na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni unafiki.
Luka 14:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia, Biblia Habari Njema - BHND Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia, Neno: Bibilia Takatifu Umati mkubwa wa watu walikuwa wakisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia, Neno: Maandiko Matakatifu Umati mkubwa wa watu ulikuwa ukisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia, BIBLIA KISWAHILI Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia, |
Wakati huo, makutano walipokutanika maelfu, hata wakakanyagana, alianza kuwaambia wanafunzi wake kwanza, Jilindeni na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni unafiki.
Maana nawaambia ya kwamba katika wale walioalikwa, hakuna hata mmoja atakayeionja karamu yangu.
Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wa kiume na wa kike; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.