Luka 12:55 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na kila ivumapo kaskazi, husema, Kutakuwa na joto; na ndivyo ilivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Biblia Habari Njema - BHND Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Neno: Bibilia Takatifu Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. BIBLIA KISWAHILI Na kila ivumapo kaskazi, husema, Kutakuwa na joto; na ndivyo ilivyo. |
wakisema, Hao wa mwisho wamefanya kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na joto la mchana kutwa.
Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kulia;