Luka 11:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini yeye alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” BIBLIA KISWAHILI Lakini yeye alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika. |
Yeye aihifadhiye amri huihifadhi nafsi yake; Bali yeye asiyeziangalia njia zake atakufa.
Akawajibu akasema, Mama yangu na ndugu zangu ni hao walisikiao neno la Mungu na kulifanya.
Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati uko karibu.
Heri wazifuao nguo zao, ili wawe na haki ya kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.