Alipotoka akiwa hawezi kusema nao, walitambua ya kuwa ameona maono ndani ya hekalu, naye aliendelea kuwaashiria akakaa bubu.
Luka 1:62 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Neno: Bibilia Takatifu Basi wakamfanyia Zakaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. Neno: Maandiko Matakatifu Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. BIBLIA KISWAHILI Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita. |
Alipotoka akiwa hawezi kusema nao, walitambua ya kuwa ameona maono ndani ya hekalu, naye aliendelea kuwaashiria akakaa bubu.