Naam, Mungu atakipasua kichwa cha adui zake, Utosi wenye nywele wa mtu afululizaye kukosa.
Kutoka 9:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwani ukikataa kuwapa ruhusa waende, na kuzidi kuwazuia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia, Biblia Habari Njema - BHND Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia, Neno: Bibilia Takatifu Usipowaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia, Neno: Maandiko Matakatifu Kama ukikataa kuwaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia, BIBLIA KISWAHILI Kwani ukikataa kuwapa ruhusa waende, na kuzidi kuwazuia, |
Naam, Mungu atakipasua kichwa cha adui zake, Utosi wenye nywele wa mtu afululizaye kukosa.
Au, kwamba wakataa kuwapa hao watu wangu ruhusa waende zao, tazama, kesho nitaleta nzige waingie ndani ya mipaka yako;
nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
Hata baadaye, Musa na Haruni wakaenda wakamwambia Farao, wakasema, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Wape watu wangu ruhusa waende, ili kunifanyia sikukuu jangwani.
BWANA akamwambia Musa, Ondoka asubuhi na mapema, ukasimame mbele ya Farao, umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania, asema, Wape watu wangu ruhusa waende ili wanitumikie.
tazama, mkono wa BWANA uko juu ya wanyama wako wa mifugo walioko kondeni, juu ya farasi, na juu ya punda, na juu ya ngamia, na juu ya ng'ombe, na juu ya kondoo; kutakuwa na tauni nzito sana.
bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya.
na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, watapata hasira na ghadhabu;
Wanadamu wakaunguzwa na joto kali, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu.