Kutoka 8:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Musa akatoka kwa Farao, akamwomba BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akamwomba Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akamwomba Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akamwomba Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Musa akamwacha Farao na kumwomba Mwenyezi Mungu, Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Musa akamwacha Farao na kumwomba bwana, BIBLIA KISWAHILI Musa akatoka kwa Farao, akamwomba BWANA. |
Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.
BWANA akafanya kama neno la Musa, akawaondoa wale inzi wabaya kwake Farao, na kwa watumishi wake, na watu wake; hakusalia hata mmoja.
Musa akatoka mjini, kutoka kwa Farao, akamwinulia BWANA mikono yake; na zile ngurumo na ile mvua ya mawe zikakoma, wala mvua haikunyesha juu ya nchi.
Basi ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, ili mpate kuponywa. Sala yake mwenye haki ina nguvu nyingi, na hutenda mengi.