Huyo Musa alikuwa ni mtu wa miaka themanini umri wake, na Haruni alikuwa ni mtu wa miaka themanini na mitatu, hapo waliponena na Farao.
Kutoka 7:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC BWANA akanena na Musa na Haruni, akawaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa na Haruni, BIBLIA KISWAHILI BWANA akanena na Musa na Haruni, akawaambia, |
Huyo Musa alikuwa ni mtu wa miaka themanini umri wake, na Haruni alikuwa ni mtu wa miaka themanini na mitatu, hapo waliponena na Farao.
Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka.
na ishara zake, na kazi zake alizomfanya Farao mfalme wa Misri, na nchi yake yote, katikati ya Misri;