Wana wa Kohathi; mwanawe huyo ni Ishari, na mwanawe huyo ni Kora, na mwanawe huyo ni Asiri;
Kutoka 6:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Ishari; ni Kora, na Nefegi, na Zikri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na watoto wa kiume wa Ishari walikuwa: Kora, Nefegi na Zikri. Biblia Habari Njema - BHND Na watoto wa kiume wa Ishari walikuwa: Kora, Nefegi na Zikri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na watoto wa kiume wa Ishari walikuwa: Kora, Nefegi na Zikri. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Ishari walikuwa: Kora, Nefegi na Zikri. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Ishari walikuwa: Kora, Nefegi na Zikri. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Ishari; ni Kora, na Nefegi, na Zikri. |
Wana wa Kohathi; mwanawe huyo ni Ishari, na mwanawe huyo ni Kora, na mwanawe huyo ni Asiri;
na baada yake Amasia mwana wa Zikri, aliyejitoa kwa BWANA kwa moyo, na pamoja naye elfu mia mbili, watu mashujaa;
Basi Kora, mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, akatwaa watu, pamoja na Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni, mwana wa Pelethi, waliokuwa wana wa Reubeni;
nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza, na watu wa nyumba zao na wote walioshikamana na Kora, na vyombo vyao vyote.