Kutoka 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hao ndio mababu wa jamaa za Walawi. Biblia Habari Njema - BHND Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hao ndio mababu wa jamaa za Walawi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hao ndio mababu wa jamaa za Walawi. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hizo zilikuwa koo za Lawi, kulingana na orodha zao. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao. |
Wana wa Merari; Mali, na Mushi. Na hizi ndizo jamaa za Walawi, kulingana na koo za baba zao.
Na wana wa Merari kwa jamaa zao ni Mahli, na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kwa nyumba za baba zao.
Na wana wa Merari kwa kufuata jamaa zao walipata miji kumi na miwili katika kabila la Reubeni, na katika kabila la Gadi, na katika kabila la Zabuloni.