Kutoka 6:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, kulingana na jamaa zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao. Biblia Habari Njema - BHND Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Gershoni kwa koo walikuwa: Libni na Shimei. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa: Libni na Shimei. BIBLIA KISWAHILI Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, kulingana na jamaa zao. |
Wana wa Merari; Mali, na mwanawe huyo ni Libni, na mwanawe huyo ni Shimei, na mwanawe huyo ni Uza;
Tena wana wa Gershoni walipata kwa kura miji kumi na mitatu katika jamaa za kabila la Isakari, na katika kabila la Asheri, na katika kabila la Naftali, na katika hiyo nusu ya kabila la Manase huko Bashani.