Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaona ya kwamba wako katika hali mbaya, walipoambiwa, Hamtapunguza idadi ya matofali yenu hata kidogo; ndizo shughuli zenu za kila siku.
Kutoka 5:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea. Biblia Habari Njema - BHND Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea. Neno: Bibilia Takatifu Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Musa na Haruni wakingojea kukutana nao, Neno: Maandiko Matakatifu Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Musa na Haruni wakingojea kukutana nao, BIBLIA KISWAHILI Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao; |
Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaona ya kwamba wako katika hali mbaya, walipoambiwa, Hamtapunguza idadi ya matofali yenu hata kidogo; ndizo shughuli zenu za kila siku.
wakawaambia, BWANA awaangalie na kuamua; kwa kuwa mmefanya harufu yetu kuwa chukizo mbele ya Farao, na mbele ya watumishi wake, mkatia upanga mikononi mwao, watuue.