Kutoka 40:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hadi siku ile lilipoinuliwa tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa. Biblia Habari Njema - BHND Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa. Neno: Bibilia Takatifu lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, hadi siku lilipoinuka. Neno: Maandiko Matakatifu lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, mpaka siku lilipoinuka. BIBLIA KISWAHILI bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hadi siku ile lilipoinuliwa tena. |