Kutoka 40:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC hapo walipoingia hema ya kukutania, na hapo walipoikaribia madhabahu walinawa kama BWANA alivyomwamuru Musa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila walipoingia ndani ya hema au walipokaribia ile madhabahu, walinawa, kama Mose alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Kila walipoingia ndani ya hema au walipokaribia ile madhabahu, walinawa, kama Mose alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila walipoingia ndani ya hema au walipokaribia ile madhabahu, walinawa, kama Mose alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Neno: Maandiko Matakatifu Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama bwana alivyomwagiza Musa. BIBLIA KISWAHILI hapo walipoingia hema ya kukutania, na hapo walipoikaribia madhabahu walinawa kama BWANA alivyomwamuru Musa. |
Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Akausimamisha ukuta wa ua kuizunguka maskani na madhabahu, akalitundika pazia la mlango wa ule ua. Basi Musa akaimaliza hiyo kazi.