Kutoka 40:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akalitia pazia la mlango wa maskani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitundika pazia kwenye mlango wa hema takatifu, Biblia Habari Njema - BHND Alitundika pazia kwenye mlango wa hema takatifu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitundika pazia kwenye mlango wa hema takatifu, Neno: Bibilia Takatifu Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la maskani ya Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu. BIBLIA KISWAHILI Akalitia pazia la mlango wa maskani. |
Akaiweka madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mlangoni pa maskani ya kukutania, akatoa sadaka ya kuteketezwa juu yake, na sadaka ya unga; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Kisha utaisimamisha madhabahu ya dhahabu kwa kufukizia uvumba mbele ya sanduku la ushuhuda, na kulitia pazia mlangoni mwa hiyo maskani.
Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.