Na Haruni atafukiza uvumba wa manukato juu yake; kila siku asubuhi atakapozitengeneza zile taa, ataufukiza.
Kutoka 40:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama BWANA alivyomwamuru Musa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu na akafukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza. Neno: Maandiko Matakatifu na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama bwana alivyomwagiza. BIBLIA KISWAHILI Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama BWANA alivyomwamuru Musa. |
Na Haruni atafukiza uvumba wa manukato juu yake; kila siku asubuhi atakapozitengeneza zile taa, ataufukiza.