Kutoka 40:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu na kuziweka taa mbele za Mwenyezi Mungu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza. Neno: Maandiko Matakatifu na kuziweka taa mbele za bwana, kama bwana alivyomwagiza. BIBLIA KISWAHILI Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa. |
Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.
Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake.
Nena na Haruni, ukamwambie, Utakapoziweka taa, hizo taa saba zitatoa nuru hapo mbele ya kinara cha taa.
Basi Haruni akafanya; akaziweka taa zake ili zitoe nuru hapo mbele ya kinara, kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Na katika kile kiti cha enzi kunatoka umeme na sauti na ngurumo. Na taa saba za moto zikiwaka mbele ya kile kiti cha enzi, ndizo Roho saba za Mungu.