Musa akaisimamisha maskani, akaviweka vitako vyake, akazisimamisha mbao zake akayatia mataruma yake, akazisimamisha nguzo zake.
Kutoka 40:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Kisha akalitandaza hema juu ya maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akalitandaza hema juu ya Maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama bwana alivyomwagiza. BIBLIA KISWAHILI Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa. |
Musa akaisimamisha maskani, akaviweka vitako vyake, akazisimamisha mbao zake akayatia mataruma yake, akazisimamisha nguzo zake.
Akautwaa ule ushuhuda, akautia ndani ya sanduku, akaiweka miti ya kuchukulia juu ya sanduku, akakiweka kiti cha rehema juu ya sanduku;
wao watayachukua mapazia ya Hema Takatifu, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania;